Baada ya kufanya
utafiti thabiti wa kisayansi uliofanywa na daktari wenu Fadhili Emily, imegundulika
kuwa simu za mikononi zisipotumika vizuri ni hatari kubwa sana kwa afya ya mwanachama.
Taarifa
tulizozipata pande tofauti tofauti za dunia zinaeleza kuwa simu ya mkononi
isipotumiwa vema yaweza kusababisha magonjwa mengi sana kwa mwanadamu na ulemavu wa viungo, hasa
viungo vya uzazi kwa mwanamke na mwanaume pia. Baadhi ya madhari hayo ni kama:
- Saratani ya ubongo
- Upungufu wa nguvu za kiume au kike.
- Ufaji wa gamete za kiume.
- Virusi vya mafua.
- Ugonjwa wa kuvimba kwa macho (Micro Lens Radiation)
- Kupanuka kwa mishipa ya moyo.
- Kupooza (Kiharusi).
Taarifa
hizi zimetafitiwa katika vituo maalumu vya mionzi ya simu na minara iliyoko.
- Japan (kituo cha Iroshima na Nangasak)
- Marekani (kituo cha Meleland)
- Shirika la Afya Duniani (WHO) (Kupitia mtandao wa kituo cha Televisheni ya CNN nao wamezungumza vema kuhusu namna ya simu za mkononi zaweza kukuadhiri mtu kama hutatumia ipasavyo (www.who.radiation.com))
Hayo yote
yanatutaayaridhishia tuwe makini katika kutumia simu zetu. Mmoja kati ya
mwendelezo wangu na vipindi katika radio ya Praise Power FM vya kila siku za
Jumanne usiku saa 2:00 na Alhamisi saa 2:00- 3:00 usiku. Kiukweli huwa nazungumzia
mambo mengi yawezayo kutuokoa kiafya. Na juzi juzi nimezungumza kwa kina kuhusu
maswala ya simu na minara na shuhuda za pande tofauti tofauti za dunia.
Nilieleza
wazi jinsi ya tunawezavyo kujikinga na mionzi ya simu za mkononi, tunaweza
kutambua simu za mkononi kuwa zina mionzi au la kwa kutumia silio namba (serial
number) zake kwa kubonyesa *#06# moja kwa moja itatokea silio namba ya simu
yako, na simu zilizo nyingi huanza na 35------------00 na kuendelea, lakini
nimewapa angalizo kwa kwa kuhesabu namba kuanzia kushoto yaani 3 ndo 1 na 5 ndo 2 tarakimu au
namba ya saba na ya nane 7 na 8 zinatakiwa ziwe na 0 na 0 hapo inahidhinisha
kuwa simu yako iko vyema haina mionzi mibaya iwezayo kukuharibu, ila ikiwa ya
saba ni 0 na nane ni 2 za mionzi basi simu yako ina asilimia 2 za mionzi, bali
pia ya saba ikiwa na 2 na nane ni 0 basi simu yako ina asilimia 20 za mionzi na
ni hatari sana kama utatumia simu hiyo kwa kupiga au kupokea karibu na:
- Radio
- Mitambo ya nishati ya umeme
- Garini au ndege na vyombo vya usafiri vyote vitumiavyo nishati ya umeme
Hii ni
sababu kwamba vyombo vya kutumia nishati ya umeme vingi vina nishati ya umeme
iitwayo IONIC (Anayoiki) na simu za mikononi zina NON-IONIC. Hivyo ukiwa
unatumia simu yako katika upigaji wa kawaida ili simu ya umpigiaye iweze kuita
lazima ifume mionzi katika kifaa kilichoko katika mnara ulio karibu na wewe
kiitwacho BOOSTER (Busta). Baada ya hapo mawimbi yatabustiwa na kutumwa katika
satellite (setelaiti) iliyoko angani kilometa 38 kutoka duniani (Channel Twelve
kwa sekunde chache sana hivyo kutumwa kwa umpigiaye ndipo simu yake
itaita.Hatua na mfumo huo ni mrefu , lakini unafanyika kwa dakika chache sana.
Hivyo ikiwa
utatumia simu yako karibu na mnara mtambo unapowekwa sikioni inachoma ubongo na
inaharibu kifaa kilicho katika kichwa cha mwanadamu kiitwacho Head Fortum
ambacho kwa kazi yake kipo toka uumbaji wa Mungu huhusika na:
- Kuota ndoto
- Kufanya maamuzi na mipango mbalimbali.
Kwahiyo
simu ikikuadhiri sehemu hiyo basi hata ndoto zako zinakuwa chafu, maamuzi
mabaya au kusababisha saratani ya ubongo.
Kifaa hicho
pia kinafanya kazi sambamba na tezi ya Pituitary na Grand ya Adrenali ambazo
zinahusika na matendo ya hiyari na yasiyo ya hiyari. (Homoestassis homon) ndiyo
maana vijana wengi wanalia nguvu za kiume; kwa kutopata mtoto, kichwa kuumwa,
ubongo kuchoka na hata mwili kuwa dhaifu:
Kwa wale
walioadhirika au ndugu yako ameadhirika, basi usikate tamaa, The Fadhaget
Sanitarium Clinic tunayo mashine ya kompyuta ya kuangalia umeadhirika nini kwa
kiwango gani, simu imekuadhiri na majibu yatatoka na tutakuandikia dawa. Dawa
zipo ni fani yetu rafiki karibu.
Wasiliana nasi kwa simu
Wasiliana nasi kwa simu
+255 712
705 158
+255 757
931 376
+255 787
705 158
Na Dk.
Fadhili Emily
Ahsante sana kwa kuuelimisha ummah juu ya matumizi mazuri ya simu za mkononi.
ReplyDeleteAllah awajaalie kila la kheri, duniani na akhera
Hongera kwa msaada wenu juu ya taaluma yeu muitoayo
ReplyDelete