Ilikuwa
tarehe 18-5-2012 nilifanikiwa kufanya ziara ya utafiti katika nchi 5 ambapo ni
mengi niliyavumbua katika swala zima la atafiti.
Moja kati
ya mambo yalionipeleka ni utafiti juu ya magonjwa ya wanawake na ulevi na
waathilika wa magonjwa sugu ya kam vile ukimwa,kisukari,moyo,vidonda vya tumbo
n.k. Nilifanikiwa kutembelea nchi kama.
1)
Hong Kong
2)
South Africa (Pritoria)
3)
Ethiopia (Addis Ababa )
4)
Thailand (Banco Rd )
5)
Kenya (Nairobi )
Namshukuru Mungu
nchi zote hizo nimezitembelea ndani ya miezi hiyo mitano nafurahi sana kwani ni katika bara la Asia
sikufanikiwa kutembelea hospitali yoyote ikiwa sababu za uchumi na mengine
ambayo yalikuwa nje ya uwezo wangu kwani nili shitukiwa kuwa ni mpelelezi kwani
niliambiwa wafikao huko hupelekwa na mashirika tajiri au serikali. Mimi nilijigharimia
mwenyewe kwani ni gharama kubwa sana kiukweli
nilikuwa na dola za kimarekani za kutosha japo zilizarauliwa na wa Hong Kong . Nikiwa Hong Kong nilifanikiwa kununua mashine
ya kisasa ya kupima wanadamu aina ya (M.R.A) ambayo iliwashangaza sana baadhi ya wakazi wa Hong Kong
kwani ni ya gharama mno.
Kama
kawaida mimi ninaposafiri huwa na kuwa na mke wangu nimpendae ambapo katika
safari hizi nilidondoka naye na kushika pipa la Ethiopia Air Way na kuhangukia Banco –Cko
(Thailand ).
Katika nchi ile nilifuraia sana na moja ya senta nilizo tempbelea nilikuta
uchache wa magonjwa wa magonjwa hatari
zaidi baada ya siku mbili tatu nika julishwa hapana malaria, wala mbu na pia
wana msimamo hawapendi kutumia dawa za kemikali kali hasa za vidonge, na pia
vyakula vya rangi ya asili kabisa na kilicho nifurahisha zaidi, hospitali nyingi nilizotembelea mapokezi (Reception)
una kutana na swali, “Una hita daktari wa medicinal plants?” yaani tiba za
mimea na matunda au “Unamtaka daktari wa medicine?” yaani dawa za sindano na vidonge kiukweli
wenzetu wamepiga hatua yaani sawa uende Muhimbili hospitali ya taifa uulizwe
unahitaji daktari wa asili au wa vidonge na sindano?
Elimu
waliyonayo ni hasa juu ya mimea inayowafanya waipende zaidi kuliko elimu ya
vidonge na sindano.
Nilichogundua
ni kwamba wagonjwa wengi hawapendi vipimo vya mionzi mikali na kutumia madawa
ya kemikali na hiyo imeletea wagonjwa kuwa wachache hospitalini wanaotumia
mionzi mikali na
Kitu nilichojifunza
tena ni kwamba watu wa pale wanakula chakula sio kwaajili ya kupata utamu au
radha nzuri bali ni kutaka kuwa na afya bora na kutounguza miili yao kwa kutumia mionzi
mikali. Pia wanatumia vyakula vibichi vya mimea, nyama hutumika mara chache sana na kama inatumika ni
ile nyama nyeupe. Inaaminika kuwa mimea mibichi ni dawa nzuri sana hasa kwa afya yako na ni kinga ya
magonjwa.
Sayansi ya
ulimwengu inakili kuwa matunda ni dawa na pia ni kinga ya mwili kwa magonjwa
madogo madogo, vivyo hivyo mboga za majani, mahindi, nyanya, nyanya chungu,
bamia, kabichi, karanga na vinginevyo vingi vya mboga, vitatumika vikiwa
vibichi navyo ni kinga na ni tiba. Sasa wenzetu elimu hiyo wanayo, ndiyo ina
wafanya wale kibichi ambayo imepunguza magonjwa sugu katika nchi yao .
Baada ya
siku tatu nilielekea Johanssberg (South Afrika), ambapo utafiti wangu
ulifanyika mji Wa Pritoria (Centurion) Medicinal Plant University of South
Africa ambapo pale pia nilikuta hapana malaria bali pana ugonjwa hatari wa
ukimwi na magonjwa ya kuambukizwa kwa wanawake (Trichomoniassisi Endometriosis,
Cambodia, Na Human Pamplona Virus) pamoja na waathilikla wa madawa ya kulevya:
Niliwatembelea
kitengo cha magonjwa ya wanawake : ambapo hayo ni kama :
(1) Kuwashwa
ukeni
(2) Kuvimba
mashavu ya uke (rabia minora na rabia mijorao)
(3) Kutokwa
uchafu kama usaha au maziwa ya mtindi ukeni na
kupotea kwa hamu ya tendo la ndoa.
Matibabu yalionekana
kuwa shida kidogo kwani walio wengi tulipo wapima tulikuta wana upungufu wa
kinga (Micro Flora Mechanism) amayo kwa hakika huwafanya kutosikia kwa dawa
wanapo tumia ili kuondoa tatizo hili kwakuwa kinga zao ziko china na hizo
ambazo ndizo zinaongoza askali mwili yaani cells. CD4 na CDS.
Tunashukuru
Mungu the Fadhageti Clinic tume gundua dawa yenye kirutubisho cha hydrochlorise
ambacho hutibu tatizo hili mpaka kupona, dada usihangaike ksribu sana Mbezi
Beach utapona.
0 comments:
Post a Comment