Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Kitengo Cha Sayansi Ya Tiba Asilia

Kwa Muda mrefu tumekuwa tukisaidia wengi katika matibabu na kutengeneza dawa bora kabisa kiafya.

Je Unapenda Kufahamu Jinsi Ya Kupata Mapacha?

Tunafundisha jinsi ya kupata jinsia unayotaka, jinsi ya kupata mtoto kama umekosa mtoto kwa muda mrefu. Pia hata jinsi ya kupata watoto mapacha tunaweza kukusaidia.

Tunapatikana Katika Mikoa Zaidi ya 10 Tanzania

Tunazidi kuongeza matawi yetu nchini Tanzania na Nje ya Nchi. Kwa sasa tunapatikana katika mikoa zaidi ya 10 na tunazidi kuongeza matawi yetu. Karibu sana.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Thursday, March 6, 2014

THE FADHAGET SANITARIUM CLINICM - KITENGO CHA SAYANSI YA TIBA ASILIA TUMEFUNGUA MATAWI SABA MIKOANI



Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Ckinic
Tunahusika na kutibu magonjwa karibia yote, hasa yaliyo sugu kama vile vidonda vya tumbo, figo kufa ganzi, miguu kuwaka moto, kuvimba miguu na unapobonyeza linabaki shimo, kisukari, pumu, moyo, mapafu, sickle cell (upungufu wa damu), kuziba kwa mirija ya uzazi, uvimbe wa kizazi, matokeo ya dalili za hatari katika via vya uzazi kama vile kuwashwa, vipele kutokea pembeni mwa mlango wa uzazi, kutoka kwa uchafu kama maziwa ya mgando katika eneo la uzazi, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa, mimba kutoka, kuzaa mtoto jinsia unayotaka, matatizo ya chango la uzazi, upungufu au ongezeko la siku za kike yaani hedhi, upungufu wa kinga mwilini (CD4 na CD8), na dalili nyingine za hatari kiafya.


The Fadhaget Sanitarium Clinic tunapatikana

1. DAR ES SALAAM
Mbezi Beach Afrikana njia ya Salasala


2. MWANZA

Tunapatika Mwanza mjini Kilimahewa kituo cha Mnazi mmoja barabara mpya ya lami

3. ARUSHA
Arusha tunapatikana round about ya Florida nyuma ya Galax

4. MBEYA
Mbeya tunapatikana mjini karibu na Shule ya Msingi Sisimba au karibu na Mbeya Peak Hotel

5. ZANZIBAR
Zanznibar tunapatikana Unguja barabara kuu ya Amani, kituo cha Gongo Store

6. TANGA
Tanga tunapatikana Tanga mjini barabara ya 16 kituo cha Mzimuni ni nyumba ya 7 kushoto kama unaelekea jela ya watoto.

7. DODOMA
Dodoma tunapatikana Dodoma mjini karibu na soko kuu Majengo ni ghorofa ya kwanza kulia kwako kama unaelekea stand ya Mshikamano.

Logo au nembo ya The Fadhaget Sanitarium Clinic

Tupigie kwa ushauri
+255 712 705 158
+255 757 931 376
+255 787 705 158
+255 757 505 158
+255 774 505 158
+255 787 505158

DR. Fadhili Emily

Fuatilia vipindi vyetu kupitia
1. Star TV: saa 3:30 usiku Jumatatu usiku (kila siku) baada ya idhaa ya BBC London .
2. Radio Free Africa: Kila siku za Jumamosi saa 3:30 baada ya taarifa ya michezo
3. Channel 10: Kila siku za Jumatano saa 11:00 jioni
4. Praise Power Radio: Kila siku za Jumanne na Alhamis saa 2:00 usiku hadi 3:00 usiku.


Mara nyingi watu tumekuwa tukiishi bila kujali afya zetu, pengine kutokuona umuhimu wa afya au kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu afya kwa kutambua hilo The Fdhaget Sanitarium Clinic kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia, tumeamua kuungana na jamii katika kutoa elimu ya afya. Katika vyombo vya habari kama vile TV, vituo vya redio, vipeperushi, CD, DVD, na vitabu vinavyoelimisha kuhusu afya. Hili litatufanikisha kuweza kufahamu umuhimu wa afya zetu.

CD zenye mafundisho juu matumizi ya simu na madhara yake, zinapatikana ofisini kwetu

Tunashauri ndugu zetu jamaa na marafiki umuhimu ya kutibiwa au kujitibu kwa kutumia dawa zitokanazo na mimea na matunda asilia, kwani hazina kemikali yoyote ambazo zaweza kusababisha usumbufu mwingi katika miili yetu. Bali dawa hizi zinatusaidia virutubisho, madini, na vitamin muhimu katika mwili.

Maasai nao baada ya kuhangaika sana kutafuta njia ya kutatua matatizo yao ya magonjwa waliweza kufika The Fadhaget Sanitarium Clinic na kukutana na Dk.  Fadhili Emily kwa vipimo na tiba.

Tunawatakia afya njema na Mungu awabariki
Kutana na DR. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic kwa ushauri na tiba ya afya, waweza kupiga kwa ushauri
+255 712 705 158
+255 757 931 376
+255 787 705 158
+255 757 505 158
+255 774 505 158
+255 787 505158

DR. Fadhili Emily

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC KWA VIPIMO NA TIBA
UMUHIMU WA KUTIBIWA NA DAWA ZITOKANAZO NA MIMEA NA MATUNDA ASILIA

Kutokana na uumbaji wa Mungu ilipendekezwa na Mungu mwenyewe, mwanadamu ajitibu au atibiwe kwa kutumia uasili alioupata katika bustani ya Eden, ambao kwa hakika ni miti, majani na matunda mbalimbali ya porini, ushahidi soma Ezekiel 47:7-12, fungu hili linazungumzia jinsi na namna ya matunda na majani yalivyobarikiwa kwa njia ya uponyaji.

Utumiaji wa dawa zitumikazo na mimea na matunda asilia, humuwezesha mgonjwa apate kujitibu salama pasipo ongezeko la kemikali au sumu yoyote katika mwili, ziwezazo kutokana na dawa za kemikali ambazo kwa hakika tumekuja kupata baada ya mapinduzi ya viwanda, ambapo kwa hakika zimeanza karne ya 19 mpaka karne hii tuliyonayo hivi leo.

Kutana na wahudumu mbalimbali kutoka kona mbalimbali za dunia kuweza kusaidiwa na tiba itokanayo na mimea asilia.

Kwa maoni na ushauri tupigie kwa namba zifuatazo
+255 712 705 158
+255 757 931 376
+255 787 705 158
+255 757 505 158
+255 774 505 158
+255 787 505158
DR. Fadhili Emily wa Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunamshukuru Mungu kwa kuisaidia The Fadhaget Sanitarium Clinic kupata huu usafiri ambao umekuwa msaada mkubwa sana katika utafutaji madawa maporini na kusaidia wagonjwa wanapokuwa wamezidiwa majumbani mwao au mahali popote pale.

TEMBELEA BLOGU YETU
www.fadhaget.blogspot,com

Sunday, April 14, 2013

ANASTAZIA MALYA APATA UJAUZITO BAADA YA KUTUMIA DAWA KUTOKA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC


Mimi ninaitwa Anastazia Malya ni mkazi wa sinza dare s Salaam, nimeugua kwa muda mrefu sana bila ya mafanikio. Nimekuwa nikisumbuliwa na maradhi mengi sana yaliyonisababishia kutopata ujauzito, nilikaa na mume wangu zaidi ya  mila saba bila mafanikio mpaka hatimaye mwanangu kuniacha. Nimehangaika hospitali nyingi za kiserikali nikaambiwa

1. Nina uvimbe wa kizazi (Fibroid),
2. Tatizo la kuziba mirija ya uzazi na una maji (Hydrosuphix)
3.  Figo kushoto ina mawe (CaCO3).
4. Vidonda vya tumbo (Ulcer)
5. Moyo
Nimehangaika hospitalinyimgi bila mafanikio, nimejaribu kwenda katika tiba mubadala nikawa naandikiwa madawa ya gharama kubwa na nimetumia hizo dawa bila ya mafanikio. Nimekuwa nikiwaambia ninachoumwa bila ya kupimwa wananipa tu dawa.

Anastazia Malya akiwa katika ofis ya The Fadhaget Saniutarium Clinic

Kwakweli nimelipa hela nyingi mpaka nikauza vitu vya ndani, nikitafuta ujauzito ikashindikana, lakini sikukata tamaa; siku moja nilikuwa nikisikiliza Redio ya Praise Power, nikasikia kipindi cha afya kilichokuwa kikiendeshwa na Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic, nikasikiliza vizuri nikagundua kile alichokuwa akizungumzia kilikuwa kikinigusa nikaona ngoja nikafike, maana alieleza anapopatikana, kiukweli baada ya kufika pale sikuamini, nilipimwa nikaona mwili mzima wangu wote kwa yale yaliykokuwa yakinisumbua. Nilifurahi sana na huduma yao, kwani hata hospitali za kawaida walinieleza hay ohayo ila wao walinipima kwa kutoboa damu yangu, ila The Fadhaget Sanitarium Clinic walinipima kwa kutumia kompyuta kwa picha bila choo wala mkojo wala damu. Kama ni uvimbe niliona kwa picha utumbo, figo, moyo, mirija ya uzazi, mapafu, maini.

Kwa kweli nilijawa na amani nikawa namuomba Mungu kimoyomoyo basi hata dawa zinifae tu jamani. Mungu ni mwaminifu Dk. Fadhili Emily alinishari na kunitia moyo akanambia utapona, nikazidi kufarijika.

Hakika ndani ya miezi miwili nikapata UJAUZITO kupitia dawa za The Fadhaget Sanitarium Clinic, nilifurahi sana nikashindwa kujizuia naikaamua kufunga safari mpaka ofisi za The Fadhaget Sanitarium Clinic kutoa shukrani zangu.

YALIYONIPATA KATIKA UJAUZITO
Wakati ujauzito wangu umetimia miezi miwili, kuna dalili tofauti nilizihisi chini ya kitovu, nilisikia vichomi, nikaanza kuona damu, miguu ikavimba du!!!!, nikakumbuka Dk. Fadhili Emily alisema nifike hospitali ambayo iko karibu na ninapoishi nikapimwe.

Kwa kweli nilienda katika hospitali za kawaida, majibu niliyopewa kuhusu ujauzito hayaelezeki, niliambiwa ujauzito umetoka, nikaambiwa nisafishwe, kwa weli nilikumbuka kipimo nilichopima kwa Dk. Fadhili Emily, nikakataa kusafishwa nikaenda kwa Dk. Fadhili Emily, akanipima akanambia mimba ipo haijatoka ila mtoto amechoka sana. Alinipa dawa na akanishauri, nikafuatilie ushauri wake.  Na mpaka sasa hivi nazungumza nina ujauzito wa miezi 8, mimba ipo na mtoto anacheza vizuri.

Ninawashauri akina mama wenzangu kuwa msikate tamaaya maisha, tumehangaika yatosha, nendeni The Fadhaget Sanitarium Clinic Mbezi Beach Tangibovu utapimwa, utashauriwa vizuri na utatibiwa. Dawa zipo.

ninaitwa Anastazia Malya ni mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam






SALOME FAUSTINE AMSHUKURU DK. FADHILI EMILY KWA KUPATA MTOTO BAADA YA KUPONA UVIMBE KATIKA UZAZI

Salome Faustine ambaye alikuwa na tatizo la kupata mimba kutokana na uvimbe katika kizazi kwa muda wa miaka 6, baada ya kutumia dawa za The Fadhaget Sanitarium Clinic aliweza kupata mimba na sasa amejifungua mtoto. aliweza kufika ofisi kwetu na kutupongeza kwa huduma zetu.

Faustine akisalimia na baadhi ya wahudumu baada ya kupata ujauzito
 Dk. Fadhili Emily akiwa na mtoto wa faustine baada ya kujifungua. Picha hii ilipigwa kipindi Salome Faustine alitembelea clinick hii kumpongeza Dk. Fadhili Emily kwa sawa yake uliyomponya uvimbe katika kizazi
 Dk  Dk. Fadhili Emily akiwa na Salome Faustine
 Wadumu wakiwa na mtoto wa Salome Faustine



GARI LA DK FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC LIKIWA LIMETOKA MKOA WA TABORA

Dk. Fadili Emily alifunga safari hadi mkoa wa Tabora kwaajili ya kutafuta dawa mbalimbali. Safari yake ilikuwa ndefu sana kwa lengo la kukusaidia wewe unayesumbuliwa na magonjwa mbalimbali.
Karibu wewe unayesumbuliwa na wewe mwenye mgonjwa upate dawa zenye kuponya.
 gari likiwa katika Makao Makuu ya The Fadhaget Sanitarium Clinic

 


DADA ALIYETESEKA KWA KANSA YANGOZI KWA MUDA MREFU APONA


Kwa uhakika ugonjwa huu wa ngozi ulinitesa sana zaidi ya mika 7. Nilipelekwa hospitali nyingi bila ya mafanikio na wakajaribu kunipima na ugonjwa haukuweza kuonekana. Baada ya kuona siponi nilienda kwa waganga wa kienyeji au wa jadi bila mafanikio, ilifika hatua nikakata tamaa.

Niliteseka sana ilifika kipindi wadogo zangu na ndugu zangu wakawa wananinyanyua na kuniweka juani na kunigeuza geuza, maana ilifika hatua siwezi kusimama wala kujigeuza kutoka na vidonda vilivyotapakaa katika mwili wangu. Ilifika kipindi inzi wakawa kelo kwangu kwani walikuwa wakinifuata kutokana na harufu mbaya niliyokuwa nayo.

Matumaini ya kupona yakaanza kupotea. Kwahiyo nikwa ni mtu wa kutolewa nje na kulazwa kwenye sponji kasha natandikiwa neti ya mbu (chandarua) mchana kwaajili ya inzi wasiguse mwili wangu. Niliumia sana na hata nikikaa kwenye kiti nje nikawa natundikiwa chandarua.

Baada ya muda baba yangu akasikia Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget sanitarium Clinic  katika kipindi radio ya Praise Power akieleza matibabu ya magonjwa mbalimbali. Baba aliamua kunipeleka katika kituo cha The Fadhaget sanitarium Clinic   Mbezi Beach hapa jijini Dar es Salaam kutibiwa. Baada ya kupata matibabu ni mwezi mmoja tu kilio change kiliweza kunyamazwa na huduma ya Dk. Fadhili Emily, niliweza kupona na sina maumivu yeyote yale.

Kupitia dawa za The Fadhaget sanitarium Clinic   nimepona, na nimashukuru sana Baba yangu na Dk. Fadhili Emily kwa huduma yao juu ya maisha yangu. Uzalendo ulinishinda kwa kuwa sasa niliweza kumtembelea Dk. Fadhili Emily nyumbani kwake kwa kumshukuru kwa huduma yake, kwani amenitoa mbali

Unaweza kuangali picha zangu hapo chini.


KABLA YA KUPONA

Dada akisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi

BAADA YA KUPONA
 Dada aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi akiwa huru na mateso hayo ya ngozi aliyokuwa nayo kwa muda wa zaidi ya miaka 7

Mungu ni mwema

UNAJUA KUWA MAUA YA YERUSALEM NI DAWA?

Tutawaletea faida za kutumia maua ya Yerusalem kama dawa katika mwili wa bindamu. Endelea kutembelea blogu yetu hii kwani utaelimika




Saturday, April 13, 2013

ZIARA YA DK FADHIL EMILY WA SANITARIUM CLINIC JIJINI ARUSHA

Tumefanya ziara fupi jiji la Arusha Tanzania. Watu wamependa huduma zetu, wamepimwa, wametibiwa. Wakazi wa jiji la Arusha wameamua kutupatia nyumba ya kufanyia huduma zetu na hatutakuwa tukifikia hotelini tena kufanya huduma zetu kama mwanzo tulivyokuwa tukifanya.

Kuanzia tarehe 01 Mei 2013 huduma ya The Fadhaget Sanitarium Clinic itapatikana jijini Arusha katika mtaa wa Stand Ndogo, karibu na geti la nyuma la kuingilia la hospitali ya Seliani. Utaona bango kubwa sana limeandikwa THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu
+255 712 705158
+255 757 931376
+255 787 705158
+255 787 505158

ANGALIA ZIARA YETU KATIKA PICHA

 Dk. Fadhil Emily akiwa na mhudumu wa hotel ya AM Arusha maeneo ya Stand Ndogo Arusha
Dk Fadhili Emily akihudumiwa na mhudumu wa hotel ya AM Arusha
   Dk. Fadhil Emily na mhudumu wa hoteli ya AM wakionyesheana meseji juu ya wagonjwa walivyofurahia huduma ya Dk Fadhili Emily

 Msaidizi wa Dk Fadhili Emily, bwana Tryphone Kagoma akihudumiwa chakula na mhudumu wa hotel ya AM-Arusha

 Eneo la Arusha







Monday, November 19, 2012

AFRED NA SALOME WAISHUKURU FADHAGET SANITARIUM CLINIC KWA KUPATA UPONYAJI


ALFRED APONA KATIKA CLINIC YA FADHAGET SANITARIUM ILIYOKO JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA, BAADA YA HOSPITALI ZINGINE KUSHINDWA KUMTIBU MAGONJWA YALIYOMSABABISHIA KUTOTEMBEA KWA MUDA MREFU.

Bwana Afred atoa ushuhuda wake bada ya kupona ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa muda mrefu, na haya ndiyo aliyoyasema:

ALFRED


Nachukua nafasi hii kuwashukuru FADHAGET SANITARIUM CLINIC MBEZI BEACH DAR ES SALAAM kwasababu nilikotoka Mungu anajua, wakati nikiwafikia FADHAGET nilikuwa na vyeti vya hospitali visivyopungua kumi na tano (15). Hospitali ya mwisho niliyoenda ya Bweni kwa Masister iliyoko Kinondoni jijini Dar es Salaam, na baada ya kupima halikuonekana tatizo lolote katika mashine zao, hapo ndipo  wakanipatia namba za Dr. Fadhili Emily  wa Fadhaget Sanitarium Clinic na waliniambia ana kipimo cha kompyuta ambacho kinaangalia mwili mzima. Nilipofika kwa kweli nilifanikiwa kuonana na Dr. Fadhili Emily mwenyewe nikiwa siwezi kutembea nilikuwa nikikokotwa na rafiki yangu ambaye kwa kweli namwita rafiki wa kweli kwani amenivumilia kwa muda wotewa mahangaiko yangu yapata miaka 4 ya kuumwa na kwa hali niliyokuwa nayo, mke wangu alinisaidia mpaka akachoka na ilifika hatua akatoroka nyumbani hali akijua mie wakufa.

Mimi ni baba wa watoto wawili (2), mke wangu aliondoka nao nisikokujua, lakini namshukuru Mungu nimetumia dawa za Dr. Fadhili Emily nimepona. Nilikuwa na magonjwa nisiyo yajua zaidi ya dalili tu. Nashukuru baada ya kufika kwa Dr. Fadhili Emily nilifafanuliwa zile dalili zote na wamefanikiwa kuniponyesha.
Alfred akiwa katika clinic za Fadhaget Sanitarium Mbezi Beach

1. Dalili nazozungumzia ni:
2. Kukojo nyano iliyochanganyika na damu
3. Kuchoka mara kwa mara
4. Kizunguzungu
5. Macho ya njano
6. Miguu kuvimba
7. Upungufu wa nguvu za kiume
8. Kutopata choo kabisa
9. Homa kali na kutetemeka
10. Kiu ya maji isiyoisha
11. Kuvimba kwa tumbo

Jamani sina la kusema na sina cha kuwalipa ila Mungu awabariki sana.

Dawa za Fadhaget Sanitarium Clinic ni za uhakika, na ambaye hajaamini basi ni imani yake…

By Afred

Ubarikiwe Mr. Afred nasi tunakutakia maisha mwma, marefu na afya njema…..

By Dr. Fadhili Emily



SALOME APONA FIBROID (UVIMBE WA KIZAZI) BAADA YA KUPATA HUDUMA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC DAR ES SALAAM TANZANIA

Salome Faustini alishangazwa na huduma ya Fadhaget Sanitarium Clinic baada ya kujipatia uponyaji kwa kutumia dawa za Fadhaget Sanitarium Clinic. Na haya yalitoka kinywani kwake kuwashukuru wahudumu na Dr. Fadhili Emily kwa msaada wake.


SALOME FAUSTINI

Nashukuru sana kupitia The Fadhaget Sanitarium Clinic iliyopo Mbezi Beach, nimepona FIBROID (uvimbe wa kizazi) ambao kwa kweli nilikaa nao kwa muda mrefu sana bila kujua na  zilinisababishia kuishi na mume wangu miaka 6 bila kushika ujauzito, lakini nilipofika hospitali ya The Fadhaget Sanitarium Clinic, ndipo wakanifafanulia kuwa ni uvime wa kuziba kwa kuwa ni uvime wa kuziba kwa mrija ya uzazi. Nimetumia dawa miezi miwili na huu ni mwezi wa  sita (6) hali ndo kama hii unayoiona, ujauzito wa miezi 4.
Wahudumu wa Fadhaget wakimpongeza Salome Faustine (kushoto) baada ya kupona.

Nina amani sana moyoni. Nawashukuru sana The Fadhaget Sanitarium Clinic kwa dawa zao za uhakika.

By Salome Faustini

Ubarikiwe dada Solome na sis tunafurahia hali yako hiyo na Mungu tunakuomba akupe watoto kadili ya hitaji lako.

Dr, Fadhili Emily wa Fadhaget Sanitarium Clinic

Friday, October 19, 2012

SAFARI YA DR FADHILI EMILY WA FADHAGET SANITARIUM CLINIC YALETA MATUMAINI KANDA YA ZIWA MWANZA


Baada ya kilio cha wakazi wa ziwa kutoka na magonjwa mbalimbali yanayowasumbua. Dr. Fadhili Emily wa Fadhaget Sanitarium Clinick aliamua kufunga safari kutoka Dar es Salaam na kuelekea Mwanza kwaajili ya kupeleka huduma Fadhaget Sanitarium Clinic kwa lengo la kutatua magonjwa yanayowakumba ndugu zetu wa kanda ya ziwa Mwanza.
Wananchi walipokea kwa shukrani kubwa wazo la kuanzisha huduma katika maeneo yao ili kupunguza idadi ya wagonjwa wa kanda ya ziwa kwa kupitia huduma ya Fadhaget Sanitarim Clinic

Ofisi mpya jii Mwanza Kilimahewa

Fadhaget Sanitarim Clinic inatibu magonjwa mbalimbali kama vile, upungufu wa nguvu za kiume/ kike, vidonda vinavyotokea katika mwili wako, tumbo kuunguruma wakati wote, moyo kwenda mbio (pressure), kutoona siku za kike na kutokuwa na hamu ya kuonana na mwanaume kwa mwanamke, kuwashwa na kutokwa na uchafu mzito, kuvimba miguu na ukibonyeza inaacha shimo, kuwashwa na kukosa usingizi, kuvimba kwa korodani na magonjwa mengi.

Dr. Fadhili Emily akiwa  na mke wangu Mwanza baada ya kushuka kutoka Dar

Huduma yetu inatumia dawa zinazotoka na mimea na matunda ambayo Mungu ametuzawadia kama wanadamu kuyatumia kwa afya zetu.
Tarehe 1/11/2012 Fadhaget Sanitarium Clinic itafungua ofisi mpya jiji Mwanza eneo la Kilimahewa. Ktufikia unaweza kushuka katika kituo cha Kilimahewa Farmers na ukawasiliana nasi  kwa simu zetu hizi hapa:
+255 787 505158 au +255 712 705158


Pia unaweza kutumaandikia kwa kupitia barua pepe yetu ya fathaget2011@gmail.com na zidi kutmbelea blogu yetu www.fadhaget.blogspot.com ili kupata mambo mapya kuhusiana na huduma yetu.

AHSANTENI!!

Monday, October 15, 2012

LISHE KWA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME



Na Dk. Fadhil Emily

Fadhaget Sanitarium Clinic inapenda kukupa maelezo kuhusiana na lishe ambayo inaweza kusaidia kutatua tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Imesekekana kuwa baadhi ya vyakula vikitumika mara kwa mara vyaweza kupunguza na kuondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na maumivu. Tumejaribu kuelezea baadhi ya vyakula ambavyo tunaamini kuwa vikitumika vinaweza kuondoa tatizo hilo, navyo ni:-


1. Mdarasini + Asali (Sermon + Honey)
Hiyo imedhibitishwa na watalaamu kuwa unweza kutibu upungufu wa nguvu wa kiume. Unapotumia mdarasini pamoja na asali mara kwa mara unaongeza nguvu za kiume na kuondoa maumivu unayoyapata.
2. Maua ya Yerusalem (Star of Jerusalem)
Ikiwa mtu mwenye upungufu wa nguvu za kiume atakuwa akitafuna vikonye vitatu vya maua meupe ya Yerusalem. Acaroids Acid ina virutubisho muhimu ambapo watu wa biolojia  wameamini kuwa kiwango kikubwa kinauwezo wa kuratibu swala hilo la nguvu za kiume
3. Karanga mbichi zisizokobolewa
Watu wa biolojia (Biologist) wanasema karanga zisizokobolewa zina protini (protein) muhimu ambayo inamchanganyiko wa Carolis ambayo kwa hakika imethibitishwa kuwa, nayo ni msaada mkubwa kwa upungufu wa nguvu za kiume.
Matatizo ya nguvu za uzazi ikiwa ni pamoja na upungufu wa nguvu za kiume na homoni (hormone) za kike, kitalaamu ni kasoro ambazo husababishwa na vijidudu na bacteria ambazo kwa hakika ukitaka kupata uponyaji, yakupasa utumie viinirishe au virutubisho vinavyotoka katika vyakula mbalimbali ambavyo hakika vyaweza kuratibu mfumo wa homoni (hormone) moja kwa moja na si kutumia sindano na vidonge ambavyo havikusaidii kurudisha virutubisho kwani vyatumika kama kupunguza au kupooza kuondoa maumivu tu (Pain Killer).

“Pain Killer” ikishaisha mwili mwako, hali ya zamani ya upungufu wa nguvu za kiume na maumivu hurudi tena na tatizo linabaki pale pale.

Inasemekana kuwa kwa asilimia nyingi vyakula vichache vilivyotajwa hapo juu vikitumika sawasawa na mara kwa mara huweza kuondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

 hali ya tatizo na sio kuponya ila ukitumia hivyo vyakula tulivyoeleza hapo juu unaweza kuponywa nahuo ugonjwa wa upungufu wa nguvu za kiume na maumivu.

Kwa maelezo zaidi fika katika ofisi za
Fathaget Sanitarium Clinic Mbezi Beachi Tangi Bovu
Kutana na Dk. Fadhil Emily
Simu: +255 712 705158 | +255 757 931376 | +255 787 705158
Blogu: fathaget.blogspot.com