Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

MATIBABU (TREATMENTS)





HUDUMA ZITOLEWAZO NA FADHAGET SANITARIUM CLINIC.



The Fadhaget Sanitarium Clinic tunatibu magonjwa takribani yote yale ambayo ni sugu kwa ufanisi wa tiba zilizoandaliwa kisayansi kutokana na mimea na matunda.
Tunatumia vipimo vya kisayansi kutambua magonjwa. Baadhi ya magonjwa tunayotibu ni:-
1. Kisukari

2. Pressure

3. Upungufu wa nguvu za kiume

4. Vidonda vya tumbo sugu.

5. Figo

6. Ini

7. Bandama

8. Tindikali katika tumbo

9. Malaria Sugu

10. Kiarusi

11. Saratani

12. Kuzibua mirija ya uzazi na kuondoa uvimbe wa kizazi (Fibroid)

13. Viambukizo katika njia za uzazi hasa kwa akina mama

14. Kusaidia walioadhirika na madawa ya kulevya, na maradhi ya ngozi n.k

15. Kuongeza CD4 na CD8 hasa kwa waadhirika wa UKIMWI

16. Moyo (mpana valvu kutanuka, kujaa maji, kwenda mbio, tundu, kuvimba)

17. Vidonda vya tumbo

18.  Miguu kuwaka moto au kufa ganzi

19. Miguu kuvimba, kuvimba ukibonyeza inabaki shimo kama ndizi mbivu

20. Ugumba

21. Natatizo ya maa mjamzito hasa kuona siku zake, tumbo kuuma chini ya kitovu,
kukosa hamu ya kula katika hali ya ujauzito.

22. Matatizo ya kukosa kupata hedhi. Nyingi (siku za kike) nyingi kwa maumivu makari

23. Mifupa

24. Uric Acid

25. Bawa Siri (Heamorrhoids)

26. Baridi yabisi (Rheumatism)

27.  Magonjwa ya zinaa

28. Magonjwa ya mlipuko (kipindupindu, utindiwa mgongo, mafua)

29. Kifafa

30. Kusisismua ubongo kwa wale wasioelewa darasani au kusahausajau sana

31. Njano

32. Single Cell

33. Upungufu wa damu

Na magonjwa mengine mengi, wasiliana nasi tutakusaidia

MWISHO

------------------------------------------------------------------------------------


LISHE NA AFYA KWA WAATHILIKA WA VVU/UKIMWI TOKA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC
Ugonjwa wa UKIMWI kisayansi ni kuathirika kwa uzaliwaji wa Cell Nyeupe za damu, ambazo husababisha upungufu wa kinga mwilini.

Mgonjwa wa UKIMWI kiafya ili asaidie uwiano wa cell zinazokutana na \ zinazozaliwa ni lazima ajitahidi kupata viini lishe muhimu ambavyo vinatoka katika chakula:
  1. Pendelea kutumia zabibu nyeusi (Black Current) kwa kuwa tunda hili lina sukari iliyochanganywa na uchafu asili kabisa ambao husaidia kuzalisha sukari ya sucrose ambayo huzalisha kwa wingi Cell Nyeupe za damu na kuongeza uwiano mzuri wa cell zinazokufa kwa kuzaliwa.

    Zabibu na sucrose  iliyosheheni vitamini C, Citric Acid na Acetic Acid  na viini lishe vingi muhimu kwa CD4 na CD8.

  2. Pendelea kutumia chai isiyotiwa majani ya chai.
·         Katika chai yako weka majani ya mlonge yaliyokaushwa vyema na kusagwa.
·         Chota kijiko cha chai cha unga wa majani hayo na weka katika kikombe kimoja cha chai,
·         Katika maji ya moto usiweke sukari,
·         Tia asali mbichi kabisa. Ni kifungua kinywa na kizuri haina uchungu wala harufu na
·         Waweza  kunywa na vitafunio vyako kama chai ya kawaida.
·         Waweza kutumia mchana na jioni kwani chai hiyo inasaidia kusimamisha kasi ya kuzaliana kwa virusi na kuvifanya virusi vilivyopo kusinzia hivyo hautojisikia maumivu  wala kupungua kwa kinga za mwili zinazohusika yaani CD4, hii ni kwasababu ya uwepo wa virutubisho cha Hydro Chloride  katika mumea wa mronge (Drumstic).

Huu ni utafiti uliofanywa na THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC  kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha ROMALINDA UNIVERSITY OF MEDICINAL PLANT kilichoko California Marekani. Haina madhara yoyote, pia waweza kutembelea THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC   iliyopo Mbezi Beach kupata dawa hiyo iliyoandaliwa tayari kwa viwango vya kidaktari kwa uasili wa hali ya juu sana.



  1. Pendelea kutumia vyakula vya mchanganyiko kama
    • BAMIA + NYANYA CHUNGU + KAROTI + NYANYA MAJI + VITUNGUU + BINZARI + BILINGANYA.
    • Chemsha vyote kwa pamoja visiive sana na
    • Usiweke maji mengi sana. Ubichi wake (kijani) kwani chakula hicho ni kizuri kwa afya kwasababu ya uwepo wa Acaroids Acid ambayo pia inamsaada mkubwa wa kukinga maradhi nyemelezi.

  2.  Tumia nafaka ambazo hazijakoborewa, mahindi, maharage, njugu mawe, njegere, mbaazi, dengu n.k hii huboresha viini lishe na kinga mwilini.


0 comments:

Post a Comment