Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na mwisho ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano.
Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo katika makao makuu ya NHIF Bendera Tatu jijini Dar es salaam kuhusu kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo, Kutoka kulia ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano, Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na kutoka mkushoto ni Dr Frank Lekei (Mkurugenzi wa Tiba na masuala ya kiufundi NHIF)
Athman Rehani Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) akifafanua jambo wakati wa mkutano huo , kutoka kulia ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano, Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba.
Kutoka kulia ni Meneja wa CHF Bw. Costantine Makala, Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano,Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba, Athman Rehani Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Mkurugenzi wa masoko na Utafiti NHIF,Raphael Mwamoto na Dr Frank Lekei (Mkurugenzi wa Tiba na masuala ya kiufundi NHIF).
0 comments:
Post a Comment