Mimi ninaitwa Anastazia Malya ni mkazi wa sinza dare s Salaam,
nimeugua kwa muda mrefu sana bila ya mafanikio. Nimekuwa nikisumbuliwa na
maradhi mengi sana yaliyonisababishia kutopata ujauzito, nilikaa na mume wangu
zaidi ya mila saba bila mafanikio mpaka
hatimaye mwanangu kuniacha. Nimehangaika hospitali nyingi za kiserikali
nikaambiwa
1. Nina uvimbe wa kizazi (Fibroid),
2. Tatizo la kuziba mirija ya uzazi na una maji (Hydrosuphix)
3. Figo kushoto ina mawe (CaCO3).
4. Vidonda vya tumbo (Ulcer)
5. Moyo
Nimehangaika hospitalinyimgi bila mafanikio, nimejaribu kwenda katika tiba mubadala nikawa naandikiwa madawa ya gharama kubwa na nimetumia hizo dawa bila ya mafanikio. Nimekuwa nikiwaambia ninachoumwa bila ya kupimwa wananipa tu dawa.
Anastazia Malya akiwa katika ofis ya The Fadhaget Saniutarium Clinic
Kwakweli nimelipa hela nyingi mpaka nikauza vitu vya ndani, nikitafuta ujauzito ikashindikana, lakini sikukata tamaa; siku moja nilikuwa nikisikiliza Redio ya Praise Power, nikasikia kipindi cha afya kilichokuwa kikiendeshwa na Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic, nikasikiliza vizuri nikagundua kile alichokuwa akizungumzia kilikuwa kikinigusa nikaona ngoja nikafike, maana alieleza anapopatikana, kiukweli baada ya kufika pale sikuamini, nilipimwa nikaona mwili mzima wangu wote kwa yale yaliykokuwa yakinisumbua. Nilifurahi sana na huduma yao, kwani hata hospitali za kawaida walinieleza hay ohayo ila wao walinipima kwa kutoboa damu yangu, ila The Fadhaget Sanitarium Clinic walinipima kwa kutumia kompyuta kwa picha bila choo wala mkojo wala damu. Kama ni uvimbe niliona kwa picha utumbo, figo, moyo, mirija ya uzazi, mapafu, maini.
Kwa kweli nilijawa na amani nikawa namuomba Mungu kimoyomoyo basi hata dawa zinifae tu jamani. Mungu ni mwaminifu Dk. Fadhili Emily alinishari na kunitia moyo akanambia utapona, nikazidi kufarijika.
Hakika ndani ya miezi miwili nikapata UJAUZITO kupitia dawa za The Fadhaget Sanitarium Clinic, nilifurahi sana nikashindwa kujizuia naikaamua kufunga safari mpaka ofisi za The Fadhaget Sanitarium Clinic kutoa shukrani zangu.
YALIYONIPATA KATIKA UJAUZITO
Wakati ujauzito wangu umetimia miezi miwili, kuna dalili tofauti nilizihisi chini ya kitovu, nilisikia vichomi, nikaanza kuona damu, miguu ikavimba du!!!!, nikakumbuka Dk. Fadhili Emily alisema nifike hospitali ambayo iko karibu na ninapoishi nikapimwe.
Kwa kweli nilienda katika hospitali za kawaida, majibu niliyopewa kuhusu ujauzito hayaelezeki, niliambiwa ujauzito umetoka, nikaambiwa nisafishwe, kwa weli nilikumbuka kipimo nilichopima kwa Dk. Fadhili Emily, nikakataa kusafishwa nikaenda kwa Dk. Fadhili Emily, akanipima akanambia mimba ipo haijatoka ila mtoto amechoka sana. Alinipa dawa na akanishauri, nikafuatilie ushauri wake. Na mpaka sasa hivi nazungumza nina ujauzito wa miezi 8, mimba ipo na mtoto anacheza vizuri.
Ninawashauri akina mama wenzangu kuwa msikate tamaaya maisha, tumehangaika yatosha, nendeni The Fadhaget Sanitarium Clinic Mbezi Beach Tangibovu utapimwa, utashauriwa vizuri na utatibiwa. Dawa zipo.
ninaitwa Anastazia Malya ni mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam