FADHAGET SANITARIUM CLINIC
Dokta Fadhili Emily wa Fadhage Santarium Clinic
Ilianza mnamo mwaka 27/7/2011, ilikuwa na umahiri mkubwa sana na wengine walichukulia matibabu ya jadi. Lakini kupitia Fadhili Emily alihakikisha zana za ligha mbaya iliyokuwa ikipotosha huduma hii ya tiba halisi ya matunda na mimea inatambulika kama huduma sahihi yenye vipimo vya kisasa vyenye kutambulika kisayansi na kuvunja kauli mbaya za watu kusema ni huduma ya kijadi yani za kiganga
Katika kuthibitisha hilo alielimisha jamii tiba halisi za mimea na matunda kwamba ni tiba ambazo za zimetafitiwa na kuthoibitishwa na Elimu ya Chuo Kikuu Tanzania.
Baada ya kutambua chungwa lina Vitamin C, Alovera ina Alkolik asidi, muarobaini una sainatic asid, ndimu ina sitiriki asidi, na madaktari wamethibitisha kimataifa virutubisho vinavyotokana na mimea na matunda ikiwa vitachanganywa vyema vinaweza kutibu maradhi hasa yaliyo sugu.
Ushahidi tunaweza kupata kutoka kwa madaktari mbalimbali walio vyuo vikuu vya tiba za mimea na matunda ulimwenguni, kama vile, Romalinda University of Medical Plant kilichoko California Marekani, East Africa Medical Missionary cha nchini Kenya, Zuru National Remedies Citiovvasty, iliyoko south Afrika, na pande mabalimbali za ylimwengu.
Kwa kushirikiana na Fadhaget Santarium Clinic tiba hii inaonekana sio tiba ya jadi bali ni tiba inayotambulika kisayansi ulimwenguni
Baada ya kutambua chungwa lina Vitamin C, Alovera ina Alkolik asidi, muarobaini una sainatic asid, ndimu ina sitiriki asidi, na madaktari wamethibitisha kimataifa virutubisho vinavyotokana na mimea na matunda ikiwa vitachanganywa vyema vinaweza kutibu maradhi hasa yaliyo sugu.
Alovera
Ndimu
Kwa kushirikiana na Fadhaget Santarium Clinic tiba hii inaonekana sio tiba ya jadi bali ni tiba inayotambulika kisayansi ulimwenguni
0 comments:
Post a Comment