Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Kitengo Cha Sayansi Ya Tiba Asilia

Kwa Muda mrefu tumekuwa tukisaidia wengi katika matibabu na kutengeneza dawa bora kabisa kiafya.

Je Unapenda Kufahamu Jinsi Ya Kupata Mapacha?

Tunafundisha jinsi ya kupata jinsia unayotaka, jinsi ya kupata mtoto kama umekosa mtoto kwa muda mrefu. Pia hata jinsi ya kupata watoto mapacha tunaweza kukusaidia.

Tunapatikana Katika Mikoa Zaidi ya 10 Tanzania

Tunazidi kuongeza matawi yetu nchini Tanzania na Nje ya Nchi. Kwa sasa tunapatikana katika mikoa zaidi ya 10 na tunazidi kuongeza matawi yetu. Karibu sana.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Monday, November 19, 2012

AFRED NA SALOME WAISHUKURU FADHAGET SANITARIUM CLINIC KWA KUPATA UPONYAJI


ALFRED APONA KATIKA CLINIC YA FADHAGET SANITARIUM ILIYOKO JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA, BAADA YA HOSPITALI ZINGINE KUSHINDWA KUMTIBU MAGONJWA YALIYOMSABABISHIA KUTOTEMBEA KWA MUDA MREFU.

Bwana Afred atoa ushuhuda wake bada ya kupona ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa muda mrefu, na haya ndiyo aliyoyasema:

ALFRED


Nachukua nafasi hii kuwashukuru FADHAGET SANITARIUM CLINIC MBEZI BEACH DAR ES SALAAM kwasababu nilikotoka Mungu anajua, wakati nikiwafikia FADHAGET nilikuwa na vyeti vya hospitali visivyopungua kumi na tano (15). Hospitali ya mwisho niliyoenda ya Bweni kwa Masister iliyoko Kinondoni jijini Dar es Salaam, na baada ya kupima halikuonekana tatizo lolote katika mashine zao, hapo ndipo  wakanipatia namba za Dr. Fadhili Emily  wa Fadhaget Sanitarium Clinic na waliniambia ana kipimo cha kompyuta ambacho kinaangalia mwili mzima. Nilipofika kwa kweli nilifanikiwa kuonana na Dr. Fadhili Emily mwenyewe nikiwa siwezi kutembea nilikuwa nikikokotwa na rafiki yangu ambaye kwa kweli namwita rafiki wa kweli kwani amenivumilia kwa muda wotewa mahangaiko yangu yapata miaka 4 ya kuumwa na kwa hali niliyokuwa nayo, mke wangu alinisaidia mpaka akachoka na ilifika hatua akatoroka nyumbani hali akijua mie wakufa.

Mimi ni baba wa watoto wawili (2), mke wangu aliondoka nao nisikokujua, lakini namshukuru Mungu nimetumia dawa za Dr. Fadhili Emily nimepona. Nilikuwa na magonjwa nisiyo yajua zaidi ya dalili tu. Nashukuru baada ya kufika kwa Dr. Fadhili Emily nilifafanuliwa zile dalili zote na wamefanikiwa kuniponyesha.
Alfred akiwa katika clinic za Fadhaget Sanitarium Mbezi Beach

1. Dalili nazozungumzia ni:
2. Kukojo nyano iliyochanganyika na damu
3. Kuchoka mara kwa mara
4. Kizunguzungu
5. Macho ya njano
6. Miguu kuvimba
7. Upungufu wa nguvu za kiume
8. Kutopata choo kabisa
9. Homa kali na kutetemeka
10. Kiu ya maji isiyoisha
11. Kuvimba kwa tumbo

Jamani sina la kusema na sina cha kuwalipa ila Mungu awabariki sana.

Dawa za Fadhaget Sanitarium Clinic ni za uhakika, na ambaye hajaamini basi ni imani yake…

By Afred

Ubarikiwe Mr. Afred nasi tunakutakia maisha mwma, marefu na afya njema…..

By Dr. Fadhili Emily



SALOME APONA FIBROID (UVIMBE WA KIZAZI) BAADA YA KUPATA HUDUMA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC DAR ES SALAAM TANZANIA

Salome Faustini alishangazwa na huduma ya Fadhaget Sanitarium Clinic baada ya kujipatia uponyaji kwa kutumia dawa za Fadhaget Sanitarium Clinic. Na haya yalitoka kinywani kwake kuwashukuru wahudumu na Dr. Fadhili Emily kwa msaada wake.


SALOME FAUSTINI

Nashukuru sana kupitia The Fadhaget Sanitarium Clinic iliyopo Mbezi Beach, nimepona FIBROID (uvimbe wa kizazi) ambao kwa kweli nilikaa nao kwa muda mrefu sana bila kujua na  zilinisababishia kuishi na mume wangu miaka 6 bila kushika ujauzito, lakini nilipofika hospitali ya The Fadhaget Sanitarium Clinic, ndipo wakanifafanulia kuwa ni uvime wa kuziba kwa kuwa ni uvime wa kuziba kwa mrija ya uzazi. Nimetumia dawa miezi miwili na huu ni mwezi wa  sita (6) hali ndo kama hii unayoiona, ujauzito wa miezi 4.
Wahudumu wa Fadhaget wakimpongeza Salome Faustine (kushoto) baada ya kupona.

Nina amani sana moyoni. Nawashukuru sana The Fadhaget Sanitarium Clinic kwa dawa zao za uhakika.

By Salome Faustini

Ubarikiwe dada Solome na sis tunafurahia hali yako hiyo na Mungu tunakuomba akupe watoto kadili ya hitaji lako.

Dr, Fadhili Emily wa Fadhaget Sanitarium Clinic