Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Kitengo Cha Sayansi Ya Tiba Asilia

Kwa Muda mrefu tumekuwa tukisaidia wengi katika matibabu na kutengeneza dawa bora kabisa kiafya.

Je Unapenda Kufahamu Jinsi Ya Kupata Mapacha?

Tunafundisha jinsi ya kupata jinsia unayotaka, jinsi ya kupata mtoto kama umekosa mtoto kwa muda mrefu. Pia hata jinsi ya kupata watoto mapacha tunaweza kukusaidia.

Tunapatikana Katika Mikoa Zaidi ya 10 Tanzania

Tunazidi kuongeza matawi yetu nchini Tanzania na Nje ya Nchi. Kwa sasa tunapatikana katika mikoa zaidi ya 10 na tunazidi kuongeza matawi yetu. Karibu sana.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Thursday, September 27, 2012

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC YAANZA KUTOA HUDUMA YA DAWA POPOTE PALE ULIPO

Ikiwa wewe umewahi kupimwa na ukajulikana kama una ugonjwa wako katika hospitali au zahanati zinazotambulika na serikali, basi waweza kutupigia simu katika namba +255 712 705158 au +255 757 931376, sisi tutakuunganisha na wakala (agents) wetu waliopo katika kila mkoa kwa kutumia mabsi na ndege kukufikishia huduma hii.

Wasiliana na
Dr Fadhili Emily wa Fadhaget Santarium Clinic

ZITAMBUE DALILI ZA HATARI ZA KIAFYA



  1. Upunguvu wa nguvu za kiume
  2. Tumbo kuunguruma wakati wa kuhisi njaa
  3. Kuwaka moto na ganzi mwilini
  4. Moyo kwenda mbio na pressure
  5. Kutoona siku za kike na kutokuwa na hamu ya mwanaume kwa wanawake
  6. kuwashwa na kutoka na uchafu nzito
  7. Kuvimba miguu na ukibonueza linaachwa shimo
  8. Kuwashwa na kukosa usingizi
  9. kuvimba kwa korodani (mayai kwa wanaume wa ukiona mayai yako hayalingani

TUTEMBELELE THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC  TUPIME TUJUE CHANZO DAWA ZIPO

Wasiliana na Dr Fadhili Emily kwa simu: +255 712 705158 | +255 757 931376 | +255 787 705158
Blogu: www.fadhaget.blogspot.com

KUTOKA KATIKA MAKALA KUHUSU FADHAGET SANITARIUM CLINIC



LISHE NA AFYA KWA WAATHILIKA WA VVU/UKIMWI TOKA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC





Ugonjwa wa UKIMWI kisayansi ni kuathirika kwa uzaliwaji wa Cell Nyeupe za damu, ambazo husababisha upungufu wa kinga mwilini.

Mgonjwa wa UKIMWI kiafya ili asaidie uwiano wa cell zinazokutana na \ zinazozaliwa ni lazima ajitahidi kupata viini lishe muhimu ambavyo vinatoka katika chakula:
  1. Pendelea kutumia zabibu nyeusi (Black Current) kwa kuwa tunda hili lina sukari iliyochanganywa na uchafu asili kabisa ambao husaidia kuzalisha sukari ya sucrose ambayo huzalisha kwa wingi Cell Nyeupe za damu na kuongeza uwiano mzuri wa cell zinazokufa kwa kuzaliwa.

    Zabibu na sucrose  iliyosheheni vitamini C, Citric Acid na Acetic Acid  na viini lishe vingi muhimu kwa CD4 na CD8.

  2. Pendelea kutumia chai isiyotiwa majani ya chai.
·         Katika chai yako weka majani ya mlonge yaliyokaushwa vyema na kusagwa.
·         Chota kijiko cha chai cha unga wa majani hayo na weka katika kikombe kimoja cha chai,
·         Katika maji ya moto usiweke sukari,
·         Tia asali mbichi kabisa. Ni kifungua kinywa na kizuri haina uchungu wala harufu na
·         Waweza  kunywa na vitafunio vyako kama chai ya kawaida.
·         Waweza kutumia mchana na jioni kwani chai hiyo inasaidia kusimamisha kasi ya kuzaliana kwa virusi na kuvifanya virusi vilivyopo kusinzia hivyo hautojisikia maumivu  wala kupungua kwa kinga za mwili zinazohusika yaani CD4, hii ni kwasababu ya uwepo wa virutubisho cha Hydro Chloride  katika mumea wa mronge (Drumstic).

Huu ni utafiti uliofanywa na THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC  kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha ROMALINDA UNIVERSITY OF MEDICINAL PLANT kilichoko California Marekani. Haina madhara yoyote, pia waweza kutembelea THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC   iliyopo Mbezi Beach kupata dawa hiyo iliyoandaliwa tayari kwa viwango vya kidaktari kwa uasili wa hali ya juu sana.

  1. Pendelea kutumia vyakula vya mchanganyiko kama
    • BAMIA + NYANYA CHUNGU + KAROTI + NYANYA MAJI + VITUNGUU + BINZARI + BILINGANYA.
    • Chemsha vyote kwa pamoja visiive sana na
    • Usiweke maji mengi sana. Ubichi wake (kijani) kwani chakula hicho ni kizuri kwa afya kwasababu ya uwepo wa Acaroids Acid ambayo pia inamsaada mkubwa wa kukinga maradhi nyemelezi.

  2.  Tumia nafaka ambazo hazijakoborewa, mahindi, maharage, njugu mawe, njegere, mbaazi, dengu n.k hii huboresha viini lishe na kinga mwilini.

Saturday, September 1, 2012

DAWA YA KUTIBU MAGONJWA YOTE YAPATIKANA FADHAGET SANITARIUM CLINIC MBEZI BEACH-DAR


Dawa hii yaweza kutumiwa na mgonjwa yeyote anayesumbuliwa na ugonjwa wowote. Dawa hii haina madhara kwa wajawazito wala kwa watoto. Imethibitishwa kuwa ina viinirishe viwezavyo kukimbiza magonjwa sugu haraka, inatambulika kwa jina la FRESH GET ni ya syrup si vidonge wala si sindano wasiliana na Dr.Fadhili wa
FADHAGET SANITARIUM CLINIC MBEZI BEACH.  


Wasiliana kwa simu +255 712 70 51 58 | +255 757 93 13 76