Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Kitengo Cha Sayansi Ya Tiba Asilia

Kwa Muda mrefu tumekuwa tukisaidia wengi katika matibabu na kutengeneza dawa bora kabisa kiafya.

Je Unapenda Kufahamu Jinsi Ya Kupata Mapacha?

Tunafundisha jinsi ya kupata jinsia unayotaka, jinsi ya kupata mtoto kama umekosa mtoto kwa muda mrefu. Pia hata jinsi ya kupata watoto mapacha tunaweza kukusaidia.

Tunapatikana Katika Mikoa Zaidi ya 10 Tanzania

Tunazidi kuongeza matawi yetu nchini Tanzania na Nje ya Nchi. Kwa sasa tunapatikana katika mikoa zaidi ya 10 na tunazidi kuongeza matawi yetu. Karibu sana.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Friday, June 29, 2012

ZIARA DK. FADHILI EILY WA FADHAGET SANITARIUM CLINIC KATIKA NCHI 5 DUNIA NDANI YA MWEZI MEI 2012

Ilikuwa tarehe 18-5-2012 nilifanikiwa kufanya ziara ya utafiti katika nchi 5 ambapo ni mengi niliyavumbua katika swala zima la atafiti.

Moja kati ya mambo yalionipeleka ni utafiti juu ya magonjwa ya wanawake na ulevi na waathilika wa magonjwa sugu ya kam vile ukimwa,kisukari,moyo,vidonda vya tumbo n.k. Nilifanikiwa kutembelea nchi kama.
1)      Hong Kong
2)      South Africa (Pritoria)
3)      Ethiopia (Addis Ababa)
4)      Thailand (Banco Rd)
5)      Kenya (Nairobi)

Namshukuru Mungu nchi zote hizo nimezitembelea ndani ya miezi hiyo mitano nafurahi sana kwani ni katika bara la Asia sikufanikiwa kutembelea hospitali yoyote ikiwa sababu za uchumi na mengine ambayo yalikuwa nje ya uwezo wangu kwani nili shitukiwa kuwa ni mpelelezi kwani niliambiwa wafikao huko hupelekwa na mashirika tajiri au serikali. Mimi nilijigharimia mwenyewe kwani ni gharama kubwa sana kiukweli nilikuwa na dola za kimarekani za kutosha japo zilizarauliwa na wa Hong Kong. Nikiwa Hong Kong nilifanikiwa kununua mashine ya kisasa ya kupima wanadamu aina ya (M.R.A) ambayo iliwashangaza sana baadhi ya wakazi wa Hong Kong kwani ni ya gharama mno.

Kama kawaida mimi ninaposafiri huwa na kuwa na mke wangu nimpendae ambapo katika safari hizi nilidondoka naye na kushika pipa la Ethiopia Air Way na kuhangukia Banco –Cko (Thailand). Katika nchi ile nilifuraia sana na moja ya senta nilizo tempbelea nilikuta uchache wa magonjwa  wa magonjwa hatari zaidi baada ya siku mbili tatu nika julishwa hapana malaria, wala mbu na pia wana msimamo hawapendi kutumia dawa za kemikali kali hasa za vidonge, na pia vyakula vya rangi ya asili kabisa na kilicho nifurahisha zaidi,  hospitali nyingi nilizotembelea mapokezi (Reception) una kutana na swali, “Una hita daktari wa medicinal plants?” yaani tiba za mimea na matunda au “Unamtaka daktari wa medicine?”  yaani dawa za sindano na vidonge kiukweli wenzetu wamepiga hatua yaani sawa uende Muhimbili hospitali ya taifa uulizwe unahitaji daktari wa asili au wa vidonge na sindano?

Elimu waliyonayo ni hasa juu ya mimea inayowafanya waipende zaidi kuliko elimu ya vidonge na sindano.

Nilichogundua ni kwamba wagonjwa wengi hawapendi vipimo vya mionzi mikali na kutumia madawa ya kemikali na hiyo imeletea wagonjwa kuwa wachache hospitalini wanaotumia mionzi mikali na

Kitu nilichojifunza tena ni kwamba watu wa pale wanakula chakula sio kwaajili ya kupata utamu au radha nzuri bali ni kutaka kuwa na afya bora na kutounguza miili yao kwa kutumia mionzi mikali. Pia wanatumia vyakula vibichi vya mimea, nyama hutumika mara chache sana na kama inatumika ni ile nyama nyeupe. Inaaminika kuwa mimea mibichi ni dawa nzuri sana hasa kwa afya yako na ni kinga ya magonjwa.

Sayansi ya ulimwengu inakili kuwa matunda ni dawa na pia ni kinga ya mwili kwa magonjwa madogo madogo, vivyo hivyo mboga za majani, mahindi, nyanya, nyanya chungu, bamia, kabichi, karanga na vinginevyo vingi vya mboga, vitatumika vikiwa vibichi navyo ni kinga na ni tiba. Sasa wenzetu elimu hiyo wanayo, ndiyo ina wafanya wale kibichi ambayo imepunguza magonjwa sugu katika nchi yao.

Baada ya siku tatu nilielekea Johanssberg (South Afrika), ambapo utafiti wangu ulifanyika mji Wa Pritoria (Centurion) Medicinal Plant University of South Africa ambapo pale pia nilikuta hapana malaria bali pana ugonjwa hatari wa ukimwi na magonjwa ya kuambukizwa kwa wanawake (Trichomoniassisi Endometriosis, Cambodia, Na Human Pamplona Virus) pamoja na waathilikla wa madawa ya kulevya:

Niliwatembelea kitengo cha magonjwa ya wanawake : ambapo hayo ni kama:

(1) Kuwashwa ukeni
(2) Kuvimba mashavu ya uke (rabia minora na rabia mijorao)
(3) Kutokwa uchafu kama usaha au maziwa ya mtindi ukeni na kupotea kwa hamu ya tendo la ndoa.

Matibabu yalionekana kuwa shida kidogo kwani walio wengi tulipo wapima tulikuta wana upungufu wa kinga (Micro Flora Mechanism) amayo kwa hakika huwafanya kutosikia kwa dawa wanapo tumia ili kuondoa tatizo hili kwakuwa kinga zao ziko china na hizo ambazo ndizo zinaongoza askali mwili yaani cells. CD4 na CDS.

Tunashukuru Mungu the Fadhageti Clinic tume gundua dawa yenye kirutubisho cha hydrochlorise ambacho hutibu tatizo hili mpaka kupona, dada usihangaike ksribu sana Mbezi Beach utapona.

Friday, June 15, 2012

DK. FADHILI EMILLY WA FADHAGET SANITARIUM CLINIC ANAKUKARIBISHA WEWE UNAYESUMBULIWA NA MAGONJWA SUGU MBEZI TANGI BOVU.

Dawa zinazotolewa na kituo hiki ni ya kutumia mimea na matunda, watu wengi wameweza kupona kwa njia ya dawa zetu Unaweza kufika ofisini kwetu na utahudumiwa.
Ofisi za  Fadhaget Sanitarium Clinic Mbezi Tangi Bovu Dar es Salaam, Tanzania
Sehemu ya madawa
 Wahudumu wa Fadhaget S.C wakiwa katika chumba cha madawa
Zabibu Kabujabja  mpokeaji wa wageni (Receptionist)
Dawa zikipangwana msaidizi wa Dr Fadhili, dada Sara Zebedayo
Baadhi ya dawa

Mzee akitolewa sumu mwilini
 Mgonjwa akitolewa sumu

 Vifaa vya kisasa kwa wagonjwa
Daktari  Gabriel Simiga
 Dajtari mkuu wa Fadhaget S. C Fadhili Emilly
Mashineya kisasa
 Wagonjwa wakisubiria kumuona daktari

 Mgonjwa akichukuliwa ripoti  ya ugonjwa wake
 Mgonjwa akielezwa na dakrari Fadhili Emilly kuhusiana na ugonjwa unaomsumbua
 Moja ya gari la Dk. Fadhili Emilly
 Hapa ni geti kuu la kuingia clinic


Wazaaaaa wazua

Vifaa vya kisasa kwaajili ya wagonjwa
Daktari akiwa katika chumba cha mapumziko baada ya kazi nzito ya kuihudumia jamii